Pumzika kwenye chumba hiki Cha mjini Tanga, chenye ukumbi mdogo wa kupunzikia, Kitanda kikubwa chenye godoro la kutuliza mgongo na mito Kwa ajili ya kutuliza shingo yako.Bafu la kipekee lenye maji ya moto na lenye vigae vya brown. Kituo Cha mabasi kina kusubiri kutoka mlangoni kwako,mwisho wa nyumba Kuna mgahawa kula ukifurahia madhari ya barabara.